Georges Corm
Mandhari
Georges Corm (1940 – 14 Agosti 2024) alikuwa mwanauchumi wa Lebanon. Alihudumu kama Waziri wa Fedha katika serikali ya Salim Hoss kuanzia mwaka 1998 hadi 2000.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Georges Corm kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |